Salamu za Siku ya Kitaifa ya Ireland 2023 Leo ni Siku ya Mtakatifu Patrick, siku ya kitaifa ya Ireland, siku ambayo tunasherehekea mambo yote ya utamaduni wa Ireland. Mwalimu Nyerere alipozungumza jijini Dublin mwaka 1979, alieleza jinsi...